Wananchi,
Young Africans SC wamechomoza na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya
Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la KMC Complex na kuendelea
kujitanua zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu bara.
Wananchi
wamefikisha alama 41 baada ya mechi 17 na kusogea mpaka alama 7 mbele ya
mahasimu wao, Simba Sc waliopo nafasi ya pili ingawa Yanga SC imecheza
mechi mbili zaidi.
0 Comments