RAIS SAMIA AMTEUA ANJELA KIZIGHA KUWA MBUNGE

 Na Ally Mandai.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi, uhamisho, utenguzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bi. Angela Kizigha ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 

Post a Comment

0 Comments