Na Ally Mandai.
Mpaka mapumziko kwenye dimba la New Amaan Complex, fainali ya Kombe la Muungano 2026 bado ipo sawa kabisa.
Young Africans SC 0-0 Simba SC
Mechi imeonekana kuwa ya ushindani mkubwa, huku kila timu ikijaribu kutawala katikati ya uwanja lakini bila mafanikio ya kufumania nyavu. Safu za ulinzi pande zote mbili zimekuwa imara, na nafasi chache zilizopatikana hazijatumika ipasavyo.
Kipindi cha pili kinaweza kuleta mabadiliko huenda makocha wakafanya marekebisho ya kimkakati au kuingiza wachezaji wapya kuongeza kasi ya ushambuliaji.
Unadhani ni timu gani itafungua ukurasa wa mabao kipindi cha pili?
Unahangaika na maisha? Huna kazi, biashara haisongi na pesa zimekuwa tatizo? PROFESA BAHARI KISIKI, mganga gumzo anayepatikana Njia Panda ya Uyole – Mbeya anatajwa kusaidia watu wengi kubadili maisha yao kwa kuwapa suluhisho la changamoto za pesa, kazi, biashara, mahusiano na kusafisha nyota.
USIENDELEE KUTESEKA WAKATI SULUHISHO LIPO. PIGA SIMU SASA +255 792 70 70 70 NA UPATE MSAADA WAKO MAPEMA.

0 Comments