Kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby ambao ni fainali ya Michuano ya Muungano Cup 2026 pale New Amaan Complex mchezo ambao utaanza kupigwa kuanzia majira ya saa 2:15 usiku.
Vikosi vya timu zote mbili tayari vipo wazi kwa wenyeji Yanga SC na wageni Simba SC,huku mabadiliko kwa yanga Abuya akimpisha DAMARO na Simba SC mlinda mlango Kassali ameanza na mlinzi wa kati Traoré.
Unahangaika na maisha? Huna kazi, biashara haisongi na pesa zimekuwa tatizo? Profesa Bahari Kisiki, mganga gumzo anayepatikana Njia Panda ya Uyole – Mbeya anatajwa kusaidia watu wengi kubadili maisha yao kwa kuwapa suluhisho la changamoto za pesa, kazi, biashara, mahusiano na kusafisha nyota.
USIENDELEE KUTESEKA WAKATI SULUHISHO LIPO. PIGA SIMU SASA +255 792 70 70 70 NA UPATE MSAADA WAKO MAPEMA.



0 Comments