ARSENAL,BAYERN WANUKIA NUSU FAINALI UEFA

Na Ally Mandai.

Mabingwa mara 15 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid wamekubali kichapo cha 2-1 nyumbani dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa duru ya kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo huku Washika Mitutu, Arsenal wakipata ushindi mwembamba ugenini dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno.

FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🇩🇪 Bayern Munich
⚽ 74’ Mbappe
⚽ 41’ Luis Diaz
⚽ 46’ Kane

FT: Sporting 🇵🇹 0-1 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
⚽ 90+1’ Havertz.

TANGAZA NASI BIASHARA YAKO KWA ELFU 20,000/= TU UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA PIGA 0654414804.

KAMA UNA HABARI WASILISHA KWETU KUPITIA NAMBA HII 0654414804. 


 

 

Post a Comment

0 Comments