WASHIKA VIBENDERA WAMEWANYIMA MABAO WASHAMBULIAJI KARIAKOO DERBY

 Na Ally Mandai.

Derby ya Kariakoo juhudi za washambuliaji kuandika mabao kwenye timu zao zimenyongwa na marefarii wasaidizi wa mchezo huu.

Msaidizi namba moja Kassim Mpanga amekataa bao halali la Mwalimu ambalo lingeamsha shangwe kwa mashabiki wa Simba SC.

Msaidizi namba mbili Hamdani Said alinyanyua shuka juu kuonyesha kuwa mshambuliaji wa Yanga SC,Prince Dube ameotea ambaye aliwapita mabeki wa Simba na alikuwa anaenda kuonana na golikipa wa Simba SC huenda angeenda kuifungia Yanga SC.


TANGAZA NASI SASA,UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA:Piga 0654414804. 



Post a Comment

0 Comments