MO SALAH KUTIMKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU

Na Ally Mandai. 

Nyota wa Liverpool Mohamed Salah ametangaza kwamba ataondoka klabuni hapo ifikapo mwishoni mwa msimu huu 2026/25

Salah mwenye umri wa miaka 33 aliwasili Anfield akitokea Roma mwaka 2017 na amefanikiwa kucheza mechi 435 akiwa na Liverpool, akifunga mabao 255.

Chanzo kutoka katika Klabu ya Liverpool kinaeleza kuwa Mohamed Salah atakamilisha kazi yake nzuri akiwa katika jezi ya Liverpool mwishoni mwa msimu wa 2025-26 baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 9.

Klabu gani inamfaa Salah baada ya Liverpool?


 

Post a Comment

0 Comments