BAADA YA MIAKA 52 DR CONGO WAMEFUZU KOMBE LA DUNIA

 Na Ally Mandai.

Timu ya taifa ya DR Congo imefanikiwa kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica katika mchezo uliodumu hadi dakika 120.

Bao pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 100 na Axel Tuanzebe, akiihakikishia DR Congo tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa duniani.

Kwa matokeo hayo, rasmi DR Congo itaiwakilisha Afrika Mashariki katika Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika nchini Marekani, Mexico na Canada.


 

Post a Comment

0 Comments