PRESHA MSIMBAZI KUELEKEA DABI,BAADA YA SARE DHIDI YA DODOMA JIJI

Na Ally Mandai.

 Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameshindwa kufurukuta wakiambulia alama moja tu dhidi ya Wakulima wa Zabibu, Dodoma Jiji FC katika dimba la Jamhuri, Dodoma.

Kituo kinachofuata ni New Amaan Complex, Zanzibar almaarufu Guantanamo Bay kwenye Kariakoo Derby Kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Machi 01, 2026.

FT: Dodoma Jiji FC 0-0 Simba Sc.






Post a Comment

0 Comments