NAIBU WAZIRI MARYPRISCA MAHUNDI ASHIRIKI MKUTANO WA AWLN ADDIS ABABA

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, ameshiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Wazee wa Mtandao wa Uongozi wa Wanawake Barani Afrika (The AWLN Elders High-Level Meeting), uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa Umoja wa Afrika (on the margins of the AU Summit), tarehe  13 Februari 2026 Addis Abbaba, Ethiopia .

Mkutano huo umewakutanisha viongozi wanawake mashuhuri barani Afrika (a powerful gathering of Africa’s foremost women leaders), ukilenga kuimarisha malezi na ushauri wa kizazi hadi kizazi pamoja na kujadili utekelezaji wa kimkakati wa Ajenda 2063 kwa maendeleo jumuishi na endelevu ya Afrika.




 

Post a Comment

0 Comments