YANGA WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LAO LA MAPINDUZI

 Na Ally Mandai,Facebook.

Klabu ya Yanga SC rasmi imetwaa ubingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi visiwan Zanzibar baada ya mikwaju ya penati 5-4 dhidi ya Azam FC na hizi ni baadhi ya picha za matukio ya Kukabidhiwa Ubingwa wao.







Post a Comment

0 Comments