Na Ally Mandai.
Wachezaji wetu wamesemwa sana hasa Kepteni wetu,Hamna heshima kwa kepteni. Inatakiwa aheshimiwe. Kafanya makubwa kwenye nchi hii, lakini tujue kwamba. Tunapotengeneza timu tunaenda kuna kukabidhiana vijiti lakini huwezi ukasema Kepteni hana sehemu yake na bado.
Wachezaji wetu ambao wamecheza AFCON zote tatu,Ni kizazi cha dhahabu kwa sababu sawa kuna wazee wetu, kaka zetu, viongozi wenzetu wangu waliotangulia zamani wanazungumza kwamba enzi zao walikuwa wanacheza mpira sawa.
Nakumbuka tulikuwa kwenye tunajadiliana na kila mmoja baba yake alisema alikuwa anakuwa wa kwanza darasani Lakini simulizi bahati nzuri nimeona huko nyuma National Team hata ambapo. Nilikuwa nipo wakati timu inaqulify kwenda Afcon kwenye mwaka themanini kwa goli la Pita Tino. Tunaposikia kwenye redio ilikuwa hatuoni.
Redio na mbwembwe za watangazaji ndizo zinazosababisha tu tusikie, lakini pia na kuona uwanjani physical ambayo pia hamna marejeo kama sasa hivi kwenye teknolojia na kila kitu kiko wazi kuliko zamani. Hata mtu akisema kwenye operesheni hii ikitokea huko baada ya msamaha, Samatta hata klipu zake zipo zinachezwa inaonekana lakini klipu za wachezaji wetu wa zamani wa hakuna.



0 Comments