Na Ally Mandai
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Alain Anicet Oura (26), aliyewahi kung’ara na klabu za ASEC Mimosas ya Ivory Coast pamoja na Stellenbosch SC ya Afrika Kusini.

0 Comments