Na Ally Mandai.
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeendelea kufanya maboresho kwenye kikosi chake kwenye dirisha hili dogo la usajili kwa kumtambulisha nyota mpya anayemudu kucheza nafasi ya mlinzi wa kushoto,Nickson Kibabage akitokjea klabu ya Singida Black Stars.
.jpeg)
0 Comments