RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA ANDRES INIESTA SAFARINI AKIREJEA TANZANIA KUTOKA MOROCCO

 Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho kikwete Usiku huu akiwa safarini kutoka nchini Morocco kurejea nchini alikokwenda kwa shughuli mbalimbali katika mkutano uliohusisha Chuo kikuu cha Dar es salaam akiwa Mkuu wa chuo akiwa anarejea nchini  amekutana na Mchezaji wa zamani wa vilabu mbalimbali ikiwemo Barcelona,Kwa sasa, Andres Iniesta ni kocha wa timu ya Emirates Club ya nchini United Arab Emirates. Alianza kuifundisha timu hiyo baada ya kustaafu kucheza mpira wa miguu mwaka 2023.




 

Post a Comment

0 Comments