RAIS SAMIA AWAALIKA TAIFA STARS IKULU KWA CHAKULA CHA MCHANA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana leo Januari 10, 2026, na wachezaji wa Taifa Stars katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam.

Aidha, Rais Samia atakutana pia na wanamichezo wengine walioiletea heshima Tanzania katika mashindano ya kimataifa.

Tukio hili linafanyika baada ya Taifa Stars kufika hatua ya 16 bora katika mashindano ya AFCON 2025 kwa mara ya kwanza, jambo ambalo limezidisha heshima ya nchi kwenye mchezo wa soka barani Afrika. 







 

Post a Comment

0 Comments