Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, akizungumza kwenye sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa mara ya kwanza, Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.
_
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KaziIendelee
#TabasamuLaUtu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi ThabitKombo, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Mululi Majula Mahendeka kwenyepicha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party), Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa, pamoja na Wawakilishi wa Heshima wakiwa kwenye sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika kwa mara ya kwanza, Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026.



.jpg)
0 Comments