SPIKA ZUNGU ALIVYOKUTANA DK.TULIA INDIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akisalimiana na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 28 wa Maspika na Wenyeviti wa Bunge wa Jumuiya ya Madola leo tarehe 15 Januari, 2026 Jijini New Delhi nchini India.

 

Post a Comment

0 Comments