Mh. Diwani kata ya Kivule *CPA RAJABU MANYINYA* leo tarehe 7 January 2026 ameshiriki katika mkutano mkuu wa mwaka wa kikundi cha *Uwezo Community micro - finance Group
Katika Mkutano huo Mh Diwani amewahakikishia Wana uwezo Community ushirikiano mkubwa wa kutosha kwenye Jambo lolote litakalowatatiza, pia Mh Diwani alitumia mda huo kuwaeleza Wana kikundi kazi kubwa iliyofanywa na inayofanywa na serikali yetu chini ya *Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mwisho *Mh Diwani Manyinya* aliweza kuchangia damu na kuwasihi wananchi wapatapo nafasi wasichoke kufanya ibada hiyo.






0 Comments