https://otieu.com/4/10556571 AL AHLY YATIBUA HESABU ZA YANGA ROBO FAINALI

AL AHLY YATIBUA HESABU ZA YANGA ROBO FAINALI

 Klabu ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye uwanja wa New Aman Complex visiwani Zanzibar na kugawana alama moja kwa kila timu.

Kwenye msimamo mpaka sasa Janga wapo nafasi ya Pili huku wakiwa na alama 5 na Al Ahly wakiwa ndio vinara wa kundi B wakiwa na jumla ya alama 8 huku Fara Rabat ambaye usiku huu yupo nyumbani akifuata na alama 02 na JS Kabylie Alama 02.

Sare ya leo Yanga SC imevuruga hesabu kimitindo ambapo sasa wanamuombea njaa Dar Rabat yaani JS Kabylie apate ushindi au Sare usiku wa leo kwani mchezo unaofuata Yanga dhidi Far Rabat Ugenini huku JS Kabylie anakuja kumalizana naye Zanzibar.





Post a Comment

0 Comments