Home
About
Contact
Home
HABARI
MICHEZO
MAGAZETI
MAKALA
__DropDown 3
Home
WAZIRI MAHUNDI ATETA NA MKUU WA MKOA WA MARA
WAZIRI MAHUNDI ATETA NA MKUU WA MKOA WA MARA
Darasa Huru
December 22, 2025
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi. Maryprisca Mahundi, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi katika Ofisi za Mkoa huo.
Naibu Waziri huyo amepita ofisini hapo akielekea katika ziara yake katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare Mkoani Mara.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
ZILIZOSOMWA ZAIDI
TFF WATOA TAREHE RASMI YA TUZO ZA WACHEZAJI BORA NBC 2024-25
November 14, 2025
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS HIKI HAPA
January 09, 2026
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
RAIS SAMIA AAGIZA VIJANA WALIOFUATA MKUMBO OKTOBA 29 WAACHIWE
November 14, 2025
TUTAZAME YOUTUBE
0 Comments