Home
About
Contact
Home
HABARI
MICHEZO
MAGAZETI
MAKALA
__DropDown 3
Home
TANZANIA YAFUZU 16 BORA AFCON 2025
TANZANIA YAFUZU 16 BORA AFCON 2025
Darasa Huru
December 30, 2025
Timu ya Taifa ya Tanzania imeweka historia kwa kufuzu kwenda hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON kama 'best loser' ikiwa miongoni mwa timu bora zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi yao.
Stars imeungana na Nigeria na Tunisia kwenye hatua ya 16 kutoka Kundi C la AFCON 2025.
FT: Tanzania 🇹🇿 1-1 🇹🇳 Tunisia
⚽ 48' Feitoto
⚽ 43' Gharbi
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
ZILIZOSOMWA ZAIDI
TFF WATOA TAREHE RASMI YA TUZO ZA WACHEZAJI BORA NBC 2024-25
November 14, 2025
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS HIKI HAPA
January 09, 2026
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
RAIS SAMIA AAGIZA VIJANA WALIOFUATA MKUMBO OKTOBA 29 WAACHIWE
November 14, 2025
TUTAZAME YOUTUBE
0 Comments