RAIS SAMIA CHIFU MKUU HANGAYA KWENYE TAMASHA LA UTAMADUNI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Chifu Mkuu Hangaya Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha aliposhiriki Tamasha la Utamaduni wa Bulabo Kanda ya Ziwa katika kituo Cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora Mkoani Mwanza leo Juni 21,2025.

 




Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form