SHALULILE "GOAT" ATAMBULISHWA JANGWANI

 Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile baada ya kukamilisha Uhamisho wake kutoka Mamelodi Sundowns wiki iliyopita.

HUPATI WATEJA!TANGAZA NASI SASA UPATE MAELFU YA WATEJA KWA ELFU TANO(5000) PIGA SASA 0654414804.

Shalulile anatua Klabuni hapo akiwa na uzoefu mkubwa na rekodi ya kufunga mabao mengi katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini, jambo linaloipa Yanga matumaini ya kuongeza nguvu katika harakati za kutetea mataji na kufanya vizuri kwenye Michuano ya CAF.




Post a Comment

0 Comments