Mimi nilikuwa nafanya kazi sehemu moja kwa muda mrefu, lakini kipato
changu kilikuwa kidogo ukilinganisha na wengine. Hilo lilifanya baadhi
ya wafanyakazi wenzangu kunichukulia poa na wakati mwingine kunidharau
waziwazi.
Maneno ya kejeli yalikuwa ya kawaida. Wakati mwingine walikuwa wakicheka mbele yangu, na hata mawazo yangu hayakuzingatiwa kwenye mikutano. Nilianza kujiona mdogo na kupoteza kujiamini kabisa.
Kadri muda ulivyopita, nilianza kukaa kimya zaidi. Niliogopa kuongea au kujitetea. Ilikuwa kama nimekubali hali hiyo, lakini moyoni nilikuwa naumia sana. Siku moja nilimweleza kaka yangu hali yangu,SOMA ZAIDI.

0 Comments