Kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale miaka inapopita bila sauti ya mtoto nyumbani, amani na furaha vyote huanza kutoweka. Kwa zaidi ya miaka miwili tangu niolewe, nilikabiliwa na simanzi nzito ya kukosa mtoto.
Kila mwezi ulipopita bila dalili za ujauzito, moyo wangu ulivunjika vipande vipande. Hali hii ilileta msongo mkubwa wa mawazo kwenye ndoa yangu, huku ndugu na majirani wakianza kunisanga, kuninyoshea vidole, na kunipachika majina ya dharau mtaani.
Nilitumia fedha nyingi kutembelea hospitali mbalimbali na kumuona kila daktari bingwa wa uzazi niliyeelekezwa. Nilitumia dawa za kuongeza uwezo wa kushika mimba na kuchoma sindano za kila aina, lakini vipimo vyote vilionyesha sina tatizo la wazi linalozuia kupata mtoto.
Pamoja na majibu hayo ya madaktari, bado nilishindwa kushika ujauzito. Nilibaki nikilia usiku kucha, nikitazama wanawake wenzangu wakibeba watoto wao, huku nikihofia mume wangu kumpata mwanamke mwingine wa kumzalia na kunifukuza kwenye nyumba.SOMA ZAIDI.

0 Comments