Home
About
Contact
Home
HABARI
MICHEZO
MAGAZETI
MAKALA
MKASA
Home
Habari
NDEJEMBI APITISHWA KWA ASILIMIA MIA NA BUNGE KUWA MAKAMU WA RAIS
NDEJEMBI APITISHWA KWA ASILIMIA MIA NA BUNGE KUWA MAKAMU WA RAIS
Darasa Huru
August 28, 2026
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limempitisha Mhe Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.
idadi ya kura zilizopigwa ni 324, ambapo kura zilizo haribika 0, kura za hapana ni 0 huku matokeo hayo yakizidi asilimia 50 iliyotakiwa.
Baada ya hapo Spika wa Bunge Mussa Hassan akamtangaza rasmi Bunge likipitisha rasmi jina hilo leo Agosti 28,2026.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
ZILIZOSOMWA ZAIDI
TFF WATOA TAREHE RASMI YA TUZO ZA WACHEZAJI BORA NBC 2024-25
November 14, 2025
REJESHA KUJIAMINI CHUMBANI NA VIKSI LOTION
July 03, 2026
LISSU ATAKA MAHAKAMA YA RUFANI IMLIPE FIDIA
July 03, 2026
RAIS DKT. MWINYI: AMANI NA UMOJA NI MSINGI WA MAENDELEO YA ZANZIBAR
July 03, 2026
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
TUTAZAME YOUTUBE
0 Comments