Wanachama wa Klabu ya Yanga wamewaamini tena Injinia Hersi Said na Arafat Haji kwa kuwachagua kuendelea kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi kingine cha miaka minne.
GUSA HAPA,UREJESHE HESHIMA CHUMBANI NA SUPER CHASI KIBOKO YA NGUVU
Katika uchaguzi huo, Injinia Hersi Said amechaguliwa tena kuwa Rais wa Yanga, huku Arafat Haji akichaguliwa kuendelea kushika nafasi ya Makamu wa Rais wa klabu hiyo.
Ushindi huo unawapa viongozi hao muhula mpya wa kuendelea kusimamia maendeleo ya Yanga, wakitarajiwa kuendeleza mafanikio ya klabu ndani na nje ya uwanja kwa kipindi cha miaka minne ijayo.

0 Comments