MAKAMU WA RAIS NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM DODOMA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma.

Kikao hicho kimefanyika leo, Julai 4, 2026, katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma, kikihusisha viongozi wa chama ngazi ya mkoa kujadili masuala mbalimbali yanayohusu utekelezaji wa shughuli za chama na maendeleo ya Mkoa wa Dodoma.


 

Post a Comment

0 Comments