Na Ally Mandai
Watani
wa Jadi, Simba SC na Yanga SC wametoshana nguvu kwa sare ya 2-2 katika
dimba la Meja Janerali Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam kwenye mchezo wa
Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.
MGANGA PROFESA BAHARI KISIKI ANAKUPA UTAJIRI MPAKA MILIONI 800 BILA MASHARTI
Wananchi wanaendelea kusalia
kileleni alama 5 mbele ya mahasimu wao hao wakubwa wakifikisha
alama 48 baada ya mechi 20 huku Simba SC ikisalia nafasi ya pili alama
43 baada ya mechi 20,Huku Azam akiwa na alama 40 nafasi ya 3.
FT: Simba SC 2-2 Yanga SC
⚽ 3’ Gueye
⚽ 10’ Chama
⚽ 18’ Dube
⚽ 50’ Mwamnyeto.
0 Comments