SIMBA YATUMA SALAMU 'MZIZIMA DERBY'

 Na Ally Mandai

Simba imechapa Coastal Union na kuondoka na alama 3 muhimu hii leo ushindi unaowafanya kusogea hadi nafasi ya pili wakiwa na alama 32 iliwa ni alama 4 pekee nyuma ya vinara wa ligi Yanga wenye alama 38.

FT: Simba 2-0 Coastal Union
26' Mwalimu S.
45' Toure I.

Umeonaje kiwango cha Simba hii leo?


 

Post a Comment

0 Comments