SIMBA WAZIDI KUIPALILIA "UNBEATEN" YA AZAM

 Na Ally Mtandai.

Azam FC wanaendeleza rekodi ya kutopoteza (unbeaten) kwenye msimu mpaka sasa kufuatia sare tasa dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc katika la Azam Complex, Chamazi.

Simba SC imeshindwa kupata ushindi dhidi ya Azam FC msimu huu (kipigo kimoja na sare moja) huku ikisalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikifikisha alama 35 baada ya mechi 16 wakati Wanalambalamba hao wakisalia nafasi ya tatu alama 33 baada ya mechi 17.

FT: Azam FC 0-0 Simba SC.

TANGAZA NASI BIASHARA YAKO KWA ELFU 20,000/= TU UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA PIGA 0654414804.






Post a Comment

0 Comments