YANGA SC YAZINDUA TAWI LA MASHABIKI NCHINI CHINA

 Na Ally Mandai.

Rais wa klabu ya Yanga SC leo amezindua Tawi la Yanga Guangzhou nchini CHINA🇨🇳 na kutoa cheti cha Ithibati baada ya Kukidhi vigezo vya matawi ya Yanga Diaspora. 

Hafla hiyo imefanyika jioni ya Leo katika eneo la CAMEROON BUILDING, FLOOR YA SITA na kuhudhuriwa na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans Sports Club nchini humo.







Post a Comment

0 Comments