Timu ya Taifa
Tanzania, ‘Taifa Stars’ imekubali kichapo cha 1-0 dhidi Liechtenstein
katika dimba la Kigali Pele, Rwanda kwenye mchezo wa Kimataifa wa
kirafiki wa FIFA Series 2026.
Liechtenstein ambayo ipo nafasi ya
tano kutoka mwisho (205) kwenye viwango vya FIFA imepata ushindi wake wa
pili kwenye mechi zaidi ya 30 ikiwa ni ushindi wao wa 17 kwenye mechi
192 kihistoria.
FT: Tanzania 🇹🇿 0-1 🇱🇮 Liechtenstein ⚽ 55’ Ferhat Saglam
0 Comments