MASIKINI YANGA! YAPATA PIGO WACHEZAJI WANNE

Na Ally Mandai.

Taarifa za wachezaji wa Yangu SC waliopata majeraha kutoka kwa Madaktari wa klabu hiyo.

Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu

Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

Edmund John amepata jeraha la Bega na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.






Post a Comment

0 Comments