Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mhe, Mama Salma Kikwete wamewasili Nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Marehemu Halima Idd Nassor, Kigamboni, Jijini Dar Es Salaam leo tarehe 18 Januari, 2025
Marehemu Halima amezikwa hii leo Saa kumi jioni katika Makaburi ya Kibada kwa Dole, Kigamboni.

.jpeg)


0 Comments