DKT. MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA MHANDISI MASAUNI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Waziri  Ofisi ya Rais -  Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  - Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.




Post a Comment

0 Comments