Mh Diwani kata ya Kivule *CPA RAJABU MANYINYA* Leo tarehe 6 Jan 2026 ameweza kutimiza mahitaji ya watoto wenye Uhitaji aliopewa na Uongozi wa kituo cha kulea watoto *Ahsante Community* kilichopo Mtaa wa Bombambili kata ya kivule
Aidha *Mh Diwani* aliendelea kusisitiza wadau mbalimbali kuendelea kukitembelea na kuwasaidia watoto wetu hawa wenye Uhitaji.




0 Comments