CLATOUS CHAMA AREJEA RASMI SIMBA SC

 Na Ally Mandai

Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi aliyekuwa nyota wake Mzambia Clatous Chama ambaye alikuwa anaitumikia klabu ya Singida Black Stars.

Chama amepita Yanga SC na Singida kabla ya kurejea tena Simba SC na inaelezwa kuwa wapo kwenye mazungumzo na nyota wake wa zamani Luis Miquissone ambaye amekuwa MVP kwenye ligi kuu nchini Msumbiji.



Post a Comment

0 Comments