Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Ndg. Anthony Mavunde ameendelea na awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.
Ndugu Mavunde leo alikuwa kata ya CHIHANGA na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya ;
-𝙎𝙤𝙜𝙚𝙖𝙢𝙗𝙚𝙡𝙚
-𝘾𝙝𝙖𝙢𝙬𝙞𝙣𝙤
-𝙉𝙯𝙖𝙨𝙖
-𝙈𝙖𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙤
-𝘼𝙯𝙞𝙢𝙞𝙤
-𝙈𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖
-𝙂𝙖𝙬𝙖𝙮𝙚
-𝘾𝙝𝙞𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖
Ndg. Mavunde pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia S. Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Chihanga Ndg. Alice Kitendya
.jpeg)

.jpeg)


0 Comments