KABUDI ATEULIWA KUWA WAZIRI WA SERA,BUNGE NA URATIBU

Na Ally Mandai. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya amemteua Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akimrithi William Lukuvi aliyefariki dunia Mach 26, 2026.

Kabla ya uteuzi huu, Kabudi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Ikulu (Kazi Maalum).


 

Post a Comment

0 Comments