Simba
imechapa Coastal Union na kuondoka na alama 3 muhimu hii leo ushindi
unaowafanya kusogea hadi nafasi ya pili wakiwa na alama 32 iliwa ni
alama 4 pekee nyuma ya vinara wa ligi Yanga wenye alama 38.
FT: Simba 2-0 Coastal Union 26' Mwalimu S. 45' Toure I.
0 Comments