Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya
uteuzi, uhamisho, utenguzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa
taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka,
Bi. Angela Kizigha ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
0 Comments