MAADUI WALIJARIBU KUNIROGA NA KUNIHARIBIA MAISHA YANGU, MPAKA PETE HII YA KIASILI ILIPONILINDA NA KURUDISHA MSHALE KWAO

 Jina langu ni Bakari. Kwa muda mrefu, nilikuwa mtu wa kufanikiwa katika biashara na mambo yangu ya kifamilia, lakini ghafla mambo yote yalianza kuporomoka bila sababu za msingi.

Afya yangu ilianza kudhoofika kwa magonjwa ya ajabu yasiyorekodiwa vipimo vya hospitali, biashara yangu ikapoteza wateja wote, na migogoro isiyoisha ikaanza kuibuka nyumbani kwangu.


Nilijua wazi kuwa kuna maadui waliokuwa wakinitazama kwa jicho la husuda na kunirushia mishale ya kishirikina ili kunidondosha kabisa na kuniharibia maisha.

Nikiwa kwenye majuto na hofu kubwa ya kupoteza kila kitu nilichochuma kwa jasho langu, mzee mmoja wa heshima katika kijiji chetu alinitembelea.

Baada ya kumsimulia mateso na majanga yaliyokuwa yakiniandama, alinieleza kwa huruma kuwa ulinzi wa kawaida hautoshi pale unapokabiliwa na maadui wenye roho mbaya na uchawi wa waziwaziSOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments