Afya njema ndiyo msingi wa mafanikio na furaha ya mwanadamu, lakini inapopotea na kutoweka ghafla, maisha yote huingia kwenye giza na masikitiko. Kwa miaka kadhaa, nilikabiliwa na maumivu makali sana ya miguu na tumbo yaliyoanza taratibu kisha yakashika kasi ya ajabu.
Miguu yangu ilikuwa ikivimba na kuwaka moto usiku kucha, huku tumbo langu likivimba na kunipiga mishipa kana kwamba kuna kitu kinatembea ndani kwa ndani.
Nilitumia fedha nyingi sana kutembelea hospitali kubwa na ndogo, nikionana na madaktari na wataalamu mbalimbali wa vipimo vya kisayansi.
Hata hivyo, kila vipimo vya damu, ultrasound, na X-ray vilipofanyika, madaktari walibaki wakinishangaa na kuniambia kuwa sina ugonjwa wowote unaoonekana mwilini.
Nilibaki nikipewa tu dawa za kutuliza maumivu ambazo hazikusaidia kitu, hali maumivu na mateso yakizidi kunirudisha nyuma na kunifanya nishindwe hata kutembea au kufanya shughuli zangu za uzalishaji mali,SOMA ZAIDI.

0 Comments