Na Ally Mandai
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsainisha beki 'kisiki' Rushine De Reuck (30) raia wa Afrika Kusini nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2027.
Mkataba wa awali wa Nahodha huyo mpya wa Simba Sc aliyetua klabuni hapo akitokea Mamelodi Sundowns ulikuwa utamatike mwisho wa msimu huu lakini sasa ataendelea kukipiga Msimbazi kwa mwaka mmoja zaidi.
TANGAZA NASI SASA,UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA:Piga 0654414804.



0 Comments