Na Ally Mandai.
Leo tarehe 5 Februari 2026, baadhi ya watu wametumia NEMBO mbalimbali za wadhamini wa Klabu yetu katika mkutano wao.
Klabu ya Simba inatoa onyo kali kwa kuwa mkutano huo haukua mkutano rasmi unaotambuliwa na Klabu.
Klabu itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya wote waliotumia NEMBO za Wadhamini bila ya ruhusa rasmi ya Klabu.



0 Comments