Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Joshua 'Budo' Mutale, amekamilisha uhamisho wa mkopo wa miezi sita kuelekea klabu ya Al-Adalah FC inayoshiriki Ligi ya Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia.
Uhamisho huu unampa Mutale fursa ya kupata changamoto mpya na uzoefu wa soka la Uarabuni baada ya kuitumikia Mnyama kwa kipindi cha hivi karibuni.
●Mkataba: Mkopo wa miezi 6.
●Kituo kipya: Al-Adalah Club, Saudi Arabia.

0 Comments