SERIKALI MTAANI KWAKO - HAI NI HAI KWA SULUHU NA MAENDELEO

Tumepata wasaa mzuri kuitambulisha Miradi Mikubwa ya Kimkakati kwa umma

Tumefanya ziara ya Pamoja na makundi Maalumu
1.Viongozi wa Dini
2.Boda boda/Bajaji/Daladala "Maafisa Usafirishaji"
3.Machinga, Mama Lishe, wauza mbogamboga
4.Baraza la Wazee 

-Tumetembelea na Kukagua Ujenzi wa Kiradi ya Masoko Makubwa ya Mula na Kwasadala yenye Thamani ya ZAIDI YA BILIONI 12

-Mradi wa Barabara Bomang'ombe, Cheki Maji, Rundugai TPC Zaidi ya Kilometa 25

-Ujenzi wa Shule mpya za Msingi na Sekondari zenye thamani ya Zaidi ya BILIONI 9

-Jengo la Halmashauri lenye Thamani ya Bilioni 4.3

Aidha Viongozi wa dini na wazee pamoja na makundi yote wameshukuru Mh Rais kwa kuleta Fedha nyingi katika wilaya ya Hai.

 




 

Post a Comment

0 Comments