Na Ally Mandai.
Aliyekuwa nyota wa Simba, Jean Charles Ahoua ameanza rasmi kazi kwenye klabu yake mpya ya CR Belouizdad inayoshiriki Ligi Kuu Algeria na amepewa jezi namba 10 sawa na aliyokuwa akiivaa Simba.

0 Comments